[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si hela tuu..
Mna penda kubeba
1.lipshine
2.simu kuuubwa mbili au tatu
3.maji ya kilimanjaro kila saa utafikiri mko jangwani
4. Power Bank mbili
Mengine nnataandika kesho..
Wine gani unapenda?hahahah hapana aisee naviogopa vinywaji vikali sijawahi kabisa
mmhWine gani unapenda?
Kama hujui hata jina la wine basi unakuwa unapiga safari wewe..
unanifurahisha sanaaa yaan [emoji23][emoji23]Kama hujui hata jina la wine basi unakuwa unapiga safari wewe..
KNapajua chuga eroo! Nimesoma chuga
Hahahaaa! Kivipi....unanifurahisha sanaaa yaan [emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Muundie kamati
Itakuwa AilangaNo..
Nimesoma shule flani ipo karibu na National park ya Arusha..
Jioni Twiga, pundamilia, Ngiri na swala walikuwa wanakuja hadi shuleni...
National park ipo umbali wa 200m toka shule ilipo..
So nilishazoea hao wanyama..!
Hahahahaaaa! Le seminareeeItakuwa Ailanga
bas tu unavyonihisi na mabeer yako [emoji23][emoji23]Hahahaaa! Kivipi....
Hahaaa! How did you know this school..?Itakuwa Ailanga
[emoji23] [emoji23]
Ni shule nzuri, mandhari muruaaa, karibu na snake farm ngongangare sio!Hahahahaaaa! Le seminareee
Yaani wewe.bas tu unavyonihisi na mabeer yako [emoji23][emoji23]
Mkuu trip za arusha national park kwangu ni nyingi na pale snake farm huwa napeleka wageni wangu sanaHahaaa! How did you know this school..?
Bitoz unaweza nipa japo short story kumuhusu mahatma namskiaga tu huyu mzee
Yes...!Ni shule nzuri, mandhari muruaaa, karibu na snake farm ngongangare sio!
I know it mkuuYes...!
Karibu na snake park ya ngongongare..
Iko upande kwa kulia ukiwa unaingia National Park ya Arusha.
Nyoka wakubwa balaaYes...!
Karibu na snake park ya ngongongare..
Iko upande kwa kulia ukiwa unaingia National Park ya Arusha.