Amina mama mchungajiiWapendwa naamini mmeamka salama Mungu ni mwaminifu sana kila siku anatupa wanae yaliyo mema,nawatakia jumapili njema Mungu aonekane kwa kila mmoja wetu,wanaoenda ibada ziwe njema,wagonjwa wapone,wenyecgangamoto zozote leo zipate ufumbuzi....nawapenda sanasana Mbarikiwe sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Bae
Umeamkaje love!!!
Mie mzima, nimekuota ujue.
Kapuku mko poa!!!?
nilijikuta nimesinzia tu kwahiyo ulibaki peke yako [emoji23]Hawa watu wako wapi
-lee empire
-mondray
-transcend
-ukuthy
-quigley
-shunie
Kwa maama hata kuaga mjaaga kwamba mnalala
[emoji23][emoji23][emoji23]Naweza pata namba zake
bado nipo labour mukongo [emoji23]Af watu walidhani leo ulikuwa labour[emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23].....Nakuona unabadilisha tu avatar (in soud brown's voice)
hahahahhAisee nina dogo langu lina zigo haswa, nafikiri utazirai ukiona
Morning mkuuMorning family
Baby ebuu sema neno moja tu na roho yangu itulieenilijikuta nimesinzia tu kwahiyo ulibaki peke yako [emoji23]
Unachekaa nini sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
ubarikiwe na kwako piaTuwe na jumapili njema wakuu
usifanye hivi siku nyingineHivi hiyo vita ya seif na lipumba ni vita kweli au tunachezewa tu RAIA!?
anavyopenda shikamoo sasaShkamo
shikamooMarhaba mtoto mzuri
Mzima wewe ???
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]ubarikiwe na kwako pia
namshkuru Mungu mama mchungaji mm sijambo hofu kwakoMkuu Leee asante kwa magazeti ubarikiwe sana msalimie Shunie sanasana
Kwendaaa zakooanavyopenda shikamoo sasa
Marhaba mke mwemashikamoo
Nakupenda Nakupendaa Nakupendaa yaan nakupendaaaa babyBaby ebuu sema neno moja tu na roho yangu ituliee