Ndo hapo sasa. Jamaa hataki kusema kilichomtokea. Mbaya zaidi jike dume lenyewe inaonekana ni international prostitute. Limetoka hapa hiloo linakwenda Angola kwa mwaliko mwingine. Jamaa hapa alipo hana raha kabisa. Tamaa ya kupata mzungu imegeuka aibu kubwa!