Makapuku Forum

avatar fake inawachanganyaaa
lee anawacheka kwa dharau
Mdharau mwiba mguu huota tende...

Lakini kweli. Mambo ya mtandao haya huwezi jua. Siku ya siku inafika unakuta Shunie mwenyewe kumbe dume. Maweeee!

Kuna jamaa juzi juzi hapa kashusha "mzigo" moto kutoka Italy. Wamechat muda mrefu sijui Badoo sijui wapi binti wa Kiitaly kashuka JKIA kwa mbwembwe kumfikisha lodge ndiyo anagundua kumbe ni jike dume. Kwa jinsi alivyokuwa anatutambia kuwa sasa kapanda level ya international ilibidi ajifiche karibu mwezi hatumuoni. Baadaye karudi sawa ndo ameanza kuonekana japo hasemi kilichotokea kwa sababu jike dume alikaa nalo siku 4 nzima lodge.

Haya mambo ya mtandaoni ni magumu!
 
Haujui kama ukweli unauma!?!?
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…