Mkuu,Please usiseme hivyo bado kaka anakuhitaji nami pia nahitaji urudi nimemiss uwepo wako nyumbani ukituandalia chai, matunda na chakula kiujumla
Please please please
Alafuu wewekaka natamani kujua kisa chako
Yupo humu humu kwa Kapuku.humu makapuku au umekosea jukwaa
Poleee mke wangu..!Mmmmh
We Jana tu, mie toka Jana nimeshindwa kabisaa kula na niko porini balaa km 3 nikaenda mjini kwa ajili yako T, nilirudi porini bila hata maji
Kaka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Hakika najiskia raha tunavyoheshiana na kupendana...shem katulia sasa!OK
Am sorry brother!!
Pole KakaSitaki uumie nilivyoumiaga mkuu
Usijaribu hiyo..!Kufa sifi ila cha moto ntakiona
njoo wa ubani nikutambulishe kwa shemej zakoHahaha so ya andaz
Napajua mkuu..Hivi unajua hadi matejoo!!!
ngoja waje wenye wake zao [emoji23][emoji23]Yupo humu humu kwa Kapuku.
Pole mamiiiMmmmh
We Jana tu, mie toka Jana nimeshindwa kabisaa kula na niko porini balaa km 3 nikaenda mjini kwa ajili yako T, nilirudi porini bila hata maji
mm apa kweli natamani kuskiaAlafuu wewe
SawaSasa unanifanyia nini hii my darling sisy jmn, mbona hivyo! Rudi kwa T kipenzi...I love you my sisy usiniangushe jmn
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]njoo wa ubani nikutambulishe kwa shemej zako
hawachelewi na habari za manfongo
umepanic brazaI mean it[emoji15] [emoji15]
Mwanaume unakuwaje na mwanamke anagombaniwa kama mpira wa kona.ngoja waje wenye wake zao [emoji23][emoji23]
Niambie mamyDada eb tuongee habari zetu
Hofu yako tu, hiyo ni salamu ya kawaida tu, japo kinywa changu kimejaa asali kwa warembo isikutisheAcha kuvamia mali za watu.
Umeanza yale ya paprika.