Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Mar 30, 2017 #152,661 Clkey said: Ahsante shem agiza kabashite hapo kwa Mangii halaf ntaja lipa Nmeshangaa kasema hajui Click to expand... Watu wabaya sanaa aiiiiseeeeh
Clkey said: Ahsante shem agiza kabashite hapo kwa Mangii halaf ntaja lipa Nmeshangaa kasema hajui Click to expand... Watu wabaya sanaa aiiiiseeeeh
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Mar 30, 2017 #152,662 Transcend said: Niitie johnson ebu fasta...! Click to expand... Ulimnyanganyaaa
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Mar 30, 2017 #152,663 Clkey said: Acha kumdanganya ww mm na ww htujawahi achana kamwee Click to expand... Bwaaanaaabwaaaanaaaah
Clkey said: Acha kumdanganya ww mm na ww htujawahi achana kamwee Click to expand... Bwaaanaaabwaaaanaaaah
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Mar 30, 2017 #152,664 Clkey said: Acha anisaidie Click to expand... Nakusaidiaaa
Transcend JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 20,553 Reaction score 63,058 Mar 30, 2017 #152,665 Kama mwanaume lazima niwe na msimamo. Kwa sasa hivi nipo na Sakayo na kila mtu anafahamu hapa.. Siwezi kumuacha sakayo hata kwa dawa..Moyo wangu uko kwa sakayo wala sitoacha kumpenda Najua dhoruba kama hizi zipo ila nilizaliwaga na ngozi ngumu hata risasi ya 9mm haniingi.. Sakayo ni wangu! Wala hawezi kupata Transcend mwingine.. Sasa namalizia kazi za watu.. It will be okey soon..
Kama mwanaume lazima niwe na msimamo. Kwa sasa hivi nipo na Sakayo na kila mtu anafahamu hapa.. Siwezi kumuacha sakayo hata kwa dawa..Moyo wangu uko kwa sakayo wala sitoacha kumpenda Najua dhoruba kama hizi zipo ila nilizaliwaga na ngozi ngumu hata risasi ya 9mm haniingi.. Sakayo ni wangu! Wala hawezi kupata Transcend mwingine.. Sasa namalizia kazi za watu.. It will be okey soon..
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Mar 30, 2017 #152,666 Transcend said: Clkey tulishaanchan bhana Mambo yako na arsenal mimi yalinishinda.. Click to expand...
Transcend said: Clkey tulishaanchan bhana Mambo yako na arsenal mimi yalinishinda.. Click to expand...
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,978 Mar 30, 2017 #152,667 Sakayo said: Hamna tabu, am out of here for good Click to expand... hivi unajua dada usipokua na msimamo watu watakua wanakuyumbisha yumbisha
Sakayo said: Hamna tabu, am out of here for good Click to expand... hivi unajua dada usipokua na msimamo watu watakua wanakuyumbisha yumbisha
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,978 Mar 30, 2017 #152,668 lee empire said: Tunamteteaa clkey Click to expand... sema unamtetea
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,978 Mar 30, 2017 #152,669 Nyagei said: Hebu nawe si ulie ili arudishe moyo nyuma lia lia lia lia lia nasema lia atarudi tu Click to expand... unanifurahisha sana leo
Nyagei said: Hebu nawe si ulie ili arudishe moyo nyuma lia lia lia lia lia nasema lia atarudi tu Click to expand... unanifurahisha sana leo
kibumbu JF-Expert Member Joined Mar 30, 2017 Posts 1,420 Reaction score 3,481 Mar 30, 2017 #152,670 Nyagei said: Naiona boti ya Mondray inakumbwa na dhoruba Click to expand... Nampa moyo wangu wote,
Clkey JF-Expert Member Joined May 29, 2014 Posts 5,720 Reaction score 15,352 Mar 30, 2017 #152,671 Shunie said: hakupendi si kama hivyo anaongea achana nae tu mapenzi ya kulazimisha mabaya sana Click to expand... Ww ndo unamfahamu zaidi yangu eti eheeee
Shunie said: hakupendi si kama hivyo anaongea achana nae tu mapenzi ya kulazimisha mabaya sana Click to expand... Ww ndo unamfahamu zaidi yangu eti eheeee
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,978 Mar 30, 2017 #152,672 kibumbu said: Nampa moyo wangu wote, Click to expand... aisee mapenzi ya wapi hayo moyo wote unampa
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Mar 30, 2017 #152,673 Shunie said: la moyoni hili Click to expand... Ilaaa weweeee
Snipes JF-Expert Member Joined Jul 2, 2013 Posts 9,223 Reaction score 16,900 Mar 30, 2017 #152,674 kibumbu said: Mwenzenu moyo umedondoka kwa kiumbe mmoja anaitwa ukhuty..ukhuty my I love you Click to expand... cc Mondray
kibumbu said: Mwenzenu moyo umedondoka kwa kiumbe mmoja anaitwa ukhuty..ukhuty my I love you Click to expand... cc Mondray
Clkey JF-Expert Member Joined May 29, 2014 Posts 5,720 Reaction score 15,352 Mar 30, 2017 #152,675 Shunie said: sipati chochote wiiiii ila mapenzi ya kulazimisha mabaya sana Click to expand... Siku zote usipende kushangilia wenzako kuachana,sabab ipo cku na ww yatakupata kama hayo, hii game niachie mm na mhusika mkuu ila sio ww
Shunie said: sipati chochote wiiiii ila mapenzi ya kulazimisha mabaya sana Click to expand... Siku zote usipende kushangilia wenzako kuachana,sabab ipo cku na ww yatakupata kama hayo, hii game niachie mm na mhusika mkuu ila sio ww
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Mar 30, 2017 #152,676 Shunie said: msikilize mwenzio ameongea ukweli wote Click to expand... Ukwelii gani ?? Mimi hawa wanaume wanaotongoza kila mtu nawachana na wewe kidogo aninyanganye
Shunie said: msikilize mwenzio ameongea ukweli wote Click to expand... Ukwelii gani ?? Mimi hawa wanaume wanaotongoza kila mtu nawachana na wewe kidogo aninyanganye
Clkey JF-Expert Member Joined May 29, 2014 Posts 5,720 Reaction score 15,352 Mar 30, 2017 #152,677 lee empire said: Ilaaa weweeee Click to expand... Shemela huyu mkeo leo ana lake jambo sio bure
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,978 Mar 30, 2017 #152,678 Clkey said: Ww ndo unamfahamu zaidi yangu eti eheeee Click to expand... ila wiii we kiboko aisee me kulazimisha mapenzi wkt sitakiwi mm siwezi
Clkey said: Ww ndo unamfahamu zaidi yangu eti eheeee Click to expand... ila wiii we kiboko aisee me kulazimisha mapenzi wkt sitakiwi mm siwezi
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,978 Mar 30, 2017 #152,679 lee empire said: Ilaaa weweeee Click to expand... mm ndio
Snipes JF-Expert Member Joined Jul 2, 2013 Posts 9,223 Reaction score 16,900 Mar 30, 2017 #152,680 Shunie said: hahahha nikiwepo mm hakuna kinachohalibika wanasema et unawakosesha usingizi hivi ni nyagei na Snipes au mana mondray anao mababy zake Click to expand... uchochezi
Shunie said: hahahha nikiwepo mm hakuna kinachohalibika wanasema et unawakosesha usingizi hivi ni nyagei na Snipes au mana mondray anao mababy zake Click to expand... uchochezi