1. mswahili ni mtu mjanja mjanja
2. mswahili ni mtu anaeongea kiswahili
3. mswahili ni mtu anaeongea sana
kuna maana tano za neno we umesimamia wapi kati ya hzo3
Wewe bado ni kapuku mnyongeangalau asee
sasa wakijikwamua mnawapo vyeo vya usinia ukapuku au wanatoka kwenye ukapuku?
Wewe jamaa unataka utolewe povu la Elfu sitanyie makapuku hamna aliejikwamua mpka leo
Maisha na mziki!!
Bado kapuku new memberWewe bado ni kapuku mnyonge
Wapi hapo?
ngoja nikuache kwa huu mwendo wako soon utajiita mshirikaha hahhaha, umesema tano, umetaja tatu, hizo mbili ni zipi? na kwanini ziwe tano na si 7 au chini ya hapo.
BTW, nimesimamia kwenye uswalihina
Wapi hapo?
BagamoyoWapi hapo?
Ataongeza neno 'na'ngoja nikuache kwa huu mwendo wako soon utajiita mshirika
Wewe jamaa unataka utolewe povu la Elfu sita
Hapo ulipigwa wimbo wa Yondo sister
nani? wapi?Hahaaaa wacha nicheke mie.
Kumbe snipes nyie ndo mlimpeleka
Karibu sana chuma cha mjerumaniwachaa kwani makapuku wanajeuri hiyoo.
mimi mgeni bhana huoni kamba mguuni.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]If your girlfriend's ass does not shake when she is brushing her teeth.. my dear braza you are dating a man!!
litakuwa treniAtaongeza neno 'na'