Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Kwani uongo katibu
Kwani uongo katibu
Ngojaa nigoogleKwani uongo katibu
Acha hizo weweIngia 18 zake utasimulia magoli
Sawa kaka mchungajiAcha hizo wewe
Mchungaji nowadays
Endelea tuNgojaa nigoogle
Kishetii yuko wapiiEndelea tu
Ameenda kuchukua malipo kwenye boti zakeKishetii yuko wapii
Exactly![]()
Love your parents till eternal
Ngoja tumsubiriAmeenda kuchukua malipo kwenye boti zake
SawaNgoja tumsubiri
Nimeshafika tayari Jux wivu.Ngoja tumsubiri
Nipo hapa pimbi mwanaharakati.Sawa
Niajee mkuuNimeshafika tayari Jux wivu.
Nipo hapa pimbi mwanaharakati.
Baanange ???Habari za mida wakuu
Daa miss sana nyie ila My baby UKHUTY miss you more.
Leo mmeniweza kweli kusoma post zote.
Tuko pamoja wakuu
Safi mkuu naona mwakisongesha taratibu.Niajee mkuu
Nimeshasema sitaki maneno yenu.Baanange ???
Jana mkamkorogaa shunieSafi mkuu naona mwakisongesha taratibu.
Hapana mm sikuhusika kabisa kumkoroga.Jana mkamkorogaa shunie
Nimeona umechukua credit utawauaaHapana mm sikuhusika kabisa kumkoroga.
Nilikua nina kazi ya kutuliza watu flani hivi walikua wanatupiana maneono.
Ila hata Shunie nilimshauri ila nikaona yupo furious