Usiwapangie cha kupost
Hakuna mada zinazoanzishwa sasa waongee kuhusu Bashite nini?
Humu kila mtu yupo huru tusileteane Umagufuli
Ukiona kitu hukipendi anzisha mada yako ubadili upepo
Hapa ni chit chat tusipangiane cha kupost
Anzisha mada unayoona inafaa badala ya kulalamika tu
...........
Usiwapangie cha kupost
Hakuna mada zinazoanzishwa sasa waongre nini?