Tumetoka mbali, luninga za rangi (color tv set) zilianza kuuzwa na kampuni la RCA -1919-1986 ( hili baadaye lilichukuliwa na GE- General Electric). Uuzwaji huu ulifunguliwa tarehe kama ya leo mwaka 1954
Na seti hii ya luninga iliuzwa kwa dola 1000 ambayo kwa leo ukiifanyia mahesabu na muda ni kama dola 6k-7k