1986 - Kyle Lowry anazaliwa.
Mchezaji wa Mpira wa Kikapu wa Toronto Raptors inayoshiliki Ligi ya NBA.
Ameshinda medali ya dhahabu ya Olimpiki ya Rio De Janeiro mwaka 2016 akiwa na timu ya taifa ya mpira wa kikapu ya Marekani maarufu kama Dream Team.
Hujui kwaniHaha...nmefanyaje
Ndio sijuiHujui kwani
MmmmhNakuskiliza wewe tu, ndo nilivyofundishwa nisiskilize ya watu
Nimeishusha jana usiku, nitaangalia leo nikiamkaUtaipenda tu trust me my boy
Nilivokua single hajantaka...saizi ndo anakazana????Mmmmh
Bhinamu obe njoo
Uachage mambo ya ajabu basi...Kwa nini unamuwazisha mwenzako
Basi I'm offNdio sijui
- Ni siku ya Kimataifa ya kuwakumbuka Wahanga wa Biashara ya Utumwa hasa wale wa Triangular Slave Trade.
Unaijua ile series ya maryjane?Nimeishusha jana usiku, nitaangalia leo nikiamka
Mwambie ukweliiNilivokua single hajantaka...saizi ndo anakazana????
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Basi I'm off
Mapenziiii upofuuuNilivokua single hajantaka...saizi ndo anakazana????
Morning family..Mie nimeamka salama shem,
Sijui wengine hali zao zikoje, natumai ni wazima wa afya. Vipi mdogo wangu amelalaje jamani???
T amka mume wangu tusali, tuianze siku mpya
Ndo nimeshapofuka kwa livi sasaMapenziiii upofuuu
Mimi sio mpenzi wa series, ila hua naangalia kama nikisikia kwa watu/mtu kama ni nzuriUnaijua ile series ya maryjane?
Tusalimianee kwanza mkuuuUachage mambo ya ajabu basi...
Taja jina la huyo mwanamke mpya uliemwambia sakayo ninae..
Mooooorning.....mume wa wawili[emoji87][emoji87]Morning family..
Morning my love S
OkMimi sio mpenzi wa series, ila hua naangalia kama nikisikia kwa watu/mtu kama ni nzuri
Do you know how much does it hurt to let go and move on??[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]