Makapuku Forum

It's lunch time my hubby
 
Sisi wapenz washangiliaji wa mapenz yenu ngoja tukae mita 200. Tusije ona wivu bure
Naaanza kutoa husia;

Mondray

Ulikuja kutoka fesibuku.., nikakupokea kwa mikono miwili mimi na kina bitoz, shunie, lee na wengine weeeengi..

Nafurahi niliweza kukumold vizuri hadi sasa hivi umekaa kwenye njia nzuri

Kuna traits zangu unazo sasa..! So nimeacha alama hapa jukwaani..

Ushike sana falsafa ya Makupuku..

Makapuku ni kimbilio la underground..make it makapuku always..! Kila mtu awe na haki sawa! Kila mtu aheshimiwe, kila mtu apate like, mwenye stress atolewe stress

Umlinde mdogo wako nyagei pia..mtu asimsumbue.


Mwisho uishi na kila kapuku kama nilivyoishi na wewe...

HASTA LUEGO Mondray..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…