Nilitunzaaa
Ila usiofu kwanza kabisa ongea na nafsi yako kwa undani
Alafu make sure sehemu zinazoweza kukuongezea stress epukana nazo
Jichanganye kama uku kwetu kapuku utatoka Siku yako iko poa
Alafu Leo usitie safar wala lager
Sikiliza mziki mdogomdogo