Makapuku Forum

Happy birthday to Liverpool..... Huyu jamaa baada ya kuleteana kisanga na kutengana na ndugu yake Everton.... sasa kafikisha miaka 125 ya uzee wake tangu March 15 1892.....

Happy birthday to you ila you will never walk alone maana nyuma yako kuna kundi kubwa sana la mashabiki wako wavumilivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…