Makapuku Forum

Mkuu hivi na wale watoto wa kirundi wanaokaa ujiji si umewamaliza kweli...

Manake utakuja kutongoza mwanaume mwenzako sasa [emoji41][emoji41]
Teh teh teh zile toto za kimanyema, totoz za kitusi kutoka manyovu. Totoz za kiha na kifipa wote dada zangu.

BTW. Nilikua nafaham fika kua Madam S ni shemela wetu kwa Baily5
 
Karibu mkuu!

Hapa tunapeana mawazo juu ya changamoto za maisha!

Tunashare utani na vitu vingine vingi kuhusu maisha...!

Heshima ni kitu muhimu kwa members wote humu! No grades! Wote tu sawa...

Karibu sana
Umesahau kimoja .....


Shunie ni wa lee [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…