Makapuku Forum

Kwa heshima na taa waka, nawasalimu wote ndani ya kapuku!!! Nawapenda wote

Mie huwa nawasoma tuu ila tuko pamoja, Shunie asante kwa mwaliko
shost karibu sana [emoji23] hivi unakumbuka ile siku tuliyokua tunaongea kuhusu kapuku ukaniambia nije nichungulie toka ile siku sijatoka tena Quigley shahidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…