Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,334
- 68,404
LEO KATIKA HISTORIA:
1900 - Chama cha Siasa cha Labour cha Uingereza chaanzishwa.
1900 - Klabu ya soka ya Bayern Munich ya Ujerumani yaanzishwa rasmi.
Ndio klabu yenye mafanikio zaidi katika soka la Ujerumani. Klabilu hiyo inapatikana katika jimbo la Bavaria.
Aliianz Arena ndio uwanja wa nyumbani wa klabu hiyo.
Wachezaji wengi wenye majina makubwa nchini humo wamechezea timu hiyo.
Mholanzi Mark Van Bommel ndio mchezaji pekee asiyekuwa Mjerumani kuwa Kepteni katika historia ya timu hiyo.
Jina lao la utani ni " The Bavarians "
1991 - Katika vita ya Ghuba, Rais wa Marekani wa kipindi hiko George H.W. Bush anatangaza kuwa Kuwait imekombolewa kutoka kwa Iraq ya Saddam Hussein.
1943 - Carlos Alberto Perreira anazaliwa.
Kocha wa zamani wa Brazil na Timu ya Taifa ya South Africa.
Aliipa Brazil taji la kombe la Dunia la mwaka 1994 liliofanyika Marekani.
Kabla ya kushindwa vibaya akiwa na South Africa mwaka 2010.
1980 - Chelsea Clinton anazaliwa.
Ni mtoto wa Rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton na Mwanamama Hillary Clinton.
Hello Baba mchungajiHello family
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huu uzi nimeanza kuuelewa kidogo kidogo thatha ntaanza kuufuatilia au thio wadau
Asante sana ubarikiweLEO KATIKA HISTORIA:
Mpaka hapo sina la ziada, niwatakie week njema katika ujenzi wa Taifa.
HelooooHello family