nayajua yote hayo na nimeyaishi miaka minne tofauti plus kubadilishana/kuombana mboga!!!...achan hizo, kuna mechi zetu, mwamuzi kibaka , kitumbua kikidondoka kinapanguswa kitu pwani. Tunasalimiana na kujuana mtaa mzima, hakuna kutombokeana ila hatuna shida na kulombeana maana mafundi wamejaa na tunahitaji kusambaziana upendo.
Unajuana na tunajuana ndo maana tunabarikiana kwa dhiki.
Kuna kingine unataka kujua unachokosa?
[emoji15] [emoji15] [emoji15]View attachment 468180
Karibuni tuzindue daraja
[emoji3][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] so ni shemeji square??
[emoji40]Na kwa shemela wetu
Af wewe, ntakuja kukusalimunihahahh hizo ndio habari za uswazi kwetu wa ushuani bakini masaki na obey kwenu
Urudie njia hiihii[emoji3]Daaaaaaah watu wa humu nilikua nimewamiss
Hv wazima nyie........ napita mm
Thithiemu ktk ubola waoView attachment 468180
Karibuni tuzindue daraja
Mukongo hiyo sign vip
Ana-plei ze gem ov adaltz [emoji3]Tangu uchukue mwanamwali jana unapatikana kwa manati
Na usisahau kumbebeaa ma thawadiii ya lubumbashiii ...Af wewe, ntakuja kukusalimuni
Kuna telephone moya nimetumiaMukongo hiyo sign vip
Niajeee jembe langu shululu mwenyeweKweli?
Niko poa shemela wangu wa ukwelime mzima shemela hofu kwako
Bwanaaaabwanaaaaaaah hawa vijana sio wa spot spotAna-plei ze gem ov adaltz [emoji3]
MhhhhhhhhBaby mimekumis ndoo maaanaaa
Af ntamletea lee vumbi ya Kongo[emoji12]Na usisahau kumbebeaa ma thawadiii ya lubumbashiii ...
nampendaga mukongo baby
Atasahau tumiss u bae usisahau