frem zero JF-Expert Member Joined Jun 8, 2016 Posts 595 Reaction score 879 Feb 6, 2017 #135,301 shululu said: Na mimi nimejua leo Click to expand... Ndio mie ni ke sema tu jina langu ni gum kweli kweli
shululu said: Na mimi nimejua leo Click to expand... Ndio mie ni ke sema tu jina langu ni gum kweli kweli
Salahan JF-Expert Member Joined Sep 10, 2014 Posts 2,961 Reaction score 3,695 Feb 6, 2017 #135,302 Beyonce na kitumbo
frem zero JF-Expert Member Joined Jun 8, 2016 Posts 595 Reaction score 879 Feb 6, 2017 #135,303 salaniatz said: Beyonce na kitumbo Click to expand... Safi sana, ila ingekuwa mwanamke wa kibongo ndo kapiga picha hivyo, matusi na vichambo ambavyo angepewa vingemfanya ajifungue kabla ya wakati.
salaniatz said: Beyonce na kitumbo Click to expand... Safi sana, ila ingekuwa mwanamke wa kibongo ndo kapiga picha hivyo, matusi na vichambo ambavyo angepewa vingemfanya ajifungue kabla ya wakati.
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,007 Reaction score 108,557 Feb 6, 2017 #135,304 frem zero popote ulipo jiandae ufike kwenye tafrija wageni walishaanza kuingia ukumbini. Hebu lee empire au salaniatz kamatia shoo ya u mc naona Bitoz hayupo
frem zero popote ulipo jiandae ufike kwenye tafrija wageni walishaanza kuingia ukumbini. Hebu lee empire au salaniatz kamatia shoo ya u mc naona Bitoz hayupo
frem zero JF-Expert Member Joined Jun 8, 2016 Posts 595 Reaction score 879 Feb 6, 2017 #135,305 Mondray said: frem zero popote ulipo jiandae ufike kwenye tafrija wageni walishaanza kuingia ukumbini. Hebu lee empire au salaniatz kamatia shoo ya u mc naona Bitoz hayupo Click to expand... Nipo saloon
Mondray said: frem zero popote ulipo jiandae ufike kwenye tafrija wageni walishaanza kuingia ukumbini. Hebu lee empire au salaniatz kamatia shoo ya u mc naona Bitoz hayupo Click to expand... Nipo saloon
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,007 Reaction score 108,557 Feb 6, 2017 #135,306 lee empire Obe shululu Transcend mtzmweusi Shunie Clkey werrason salaniatz frem zero Hebu sogeeni ndani ya ukumbi mchumba frem anakaribia kutoka saloon afike kwenye tafrija
lee empire Obe shululu Transcend mtzmweusi Shunie Clkey werrason salaniatz frem zero Hebu sogeeni ndani ya ukumbi mchumba frem anakaribia kutoka saloon afike kwenye tafrija
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Feb 6, 2017 #135,307 salaniatz said: Beyonce na kitumbo Click to expand... Mapacha wapo ndani ya kitumbo
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Feb 6, 2017 #135,308 frem zero said: Ndio mie ni ke sema tu jina langu ni gum kweli kweli Click to expand... Jina sio gumu
frem zero said: Ndio mie ni ke sema tu jina langu ni gum kweli kweli Click to expand... Jina sio gumu
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,007 Reaction score 108,557 Feb 6, 2017 #135,309 Hv BlessedHope si nilikupanga kwenye kamati ya kukaribisha wageni, jikon unafuaata nn?? Rudi kwenye sehemu yako
Hv BlessedHope si nilikupanga kwenye kamati ya kukaribisha wageni, jikon unafuaata nn?? Rudi kwenye sehemu yako
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,977 Feb 6, 2017 #135,310 Clkey said: Yesuuuuu jamani Click to expand... wizo
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,977 Feb 6, 2017 #135,311 shululu said: Utàkuja naye Click to expand... shemela
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,977 Feb 6, 2017 #135,312 lee empire said: Atachelewaa kidogo Click to expand... Mmh
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,977 Feb 6, 2017 #135,313 shululu said: Hapo ni Lee na shunie mubashara Click to expand...
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,977 Feb 6, 2017 #135,314 Mondray said: frem zero popote ulipo jiandae ufike kwenye tafrija wageni walishaanza kuingia ukumbini. Hebu lee empire au salaniatz kamatia shoo ya u mc naona Bitoz hayupo Click to expand... Tafrija gani tena
Mondray said: frem zero popote ulipo jiandae ufike kwenye tafrija wageni walishaanza kuingia ukumbini. Hebu lee empire au salaniatz kamatia shoo ya u mc naona Bitoz hayupo Click to expand... Tafrija gani tena
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,977 Feb 6, 2017 #135,315 Mondray said: lee empire Obe shululu Transcend mtzmweusi Shunie Clkey werrason salaniatz frem zero Hebu sogeeni ndani ya ukumbi mchumba frem anakaribia kutoka saloon afike kwenye tafrija Click to expand... mm mbona sijui haya mambo
Mondray said: lee empire Obe shululu Transcend mtzmweusi Shunie Clkey werrason salaniatz frem zero Hebu sogeeni ndani ya ukumbi mchumba frem anakaribia kutoka saloon afike kwenye tafrija Click to expand... mm mbona sijui haya mambo
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Feb 6, 2017 #135,316 shululu said: Hapo ni Lee na shunie mubashara Click to expand... Bwanaaaabwanaaaah mfano hai
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Feb 6, 2017 #135,317 Mondray said: Hv BlessedHope si nilikupanga kwenye kamati ya kukaribisha wageni, jikon unafuaata nn?? Rudi kwenye sehemu yako Click to expand... Mkuu anafaaa kote
Mondray said: Hv BlessedHope si nilikupanga kwenye kamati ya kukaribisha wageni, jikon unafuaata nn?? Rudi kwenye sehemu yako Click to expand... Mkuu anafaaa kote
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Feb 6, 2017 #135,318 Shunie said: Tafrija gani tena Click to expand... Mpenzi Shunie ,nimehelewa kukupa taarifa Leo kapuku mwenzentu amempata mwenza wake ... Umepewa kitengo ila ntakusaidiaa
Shunie said: Tafrija gani tena Click to expand... Mpenzi Shunie ,nimehelewa kukupa taarifa Leo kapuku mwenzentu amempata mwenza wake ... Umepewa kitengo ila ntakusaidiaa
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Feb 6, 2017 #135,319 Shunie said: mm mbona sijui haya mambo Click to expand... Weee swty twende utaona kwa macho
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,977 Feb 6, 2017 #135,320 lee empire said: Mpenzi Shunie ,nimehelewa kukupa taarifa Leo kapuku mwenzentu amempata mwenza wake ... Umepewa kitengo ila ntakusaidiaa Click to expand... Mmh ghafla hivyo
lee empire said: Mpenzi Shunie ,nimehelewa kukupa taarifa Leo kapuku mwenzentu amempata mwenza wake ... Umepewa kitengo ila ntakusaidiaa Click to expand... Mmh ghafla hivyo