Makapuku Forum

Aisee Jimena kajifichia wapi sijui hata hapatikani. Briz naonana naye siku moja moja lakini Sweetiepie alipotea kitambo sana. Japo naona chama kimeongezeka na kuna wadau wapya kama Shunie na Lee Empire
Mfano wako tumeupenda

Ila karibu tena walitupokea vizuri tunalisongesha
 
Baby ngoja nikutambulishe kwa wageni

"Wakuuu wapendwa wageni shunie ni shemela yenu kipenda roho changu " mtu yeyote asikurubuni kukuelekeza kwa shunie
Ukimuacha unitaarifu pia mkuu. Mke mwema anatoka kwa bwana.
 
Reactions: Lee
Hebu Hamasika Kidogo

Na mwisho namaliza na mambo yetu ya kiimani sasa (relax, its furahiday)
 
Aisee Jimena kajifichia wapi sijui hata hapatikani. Briz naonana naye siku moja moja lakini Sweetiepie alipotea kitambo sana. Japo naona chama kimeongezeka na kuna wadau wapya kama Shunie na Lee Empire
Jimena amebanwa na majukumu ya kimaisha hivyo ndo maana haonekani ila majukumu yakiisha atarejea nadhani ni mwezi huu mwishoni

Inabidi tukubali nyakati hazirudi nyuma hivyo muda unaporuhusu kufurahi pamoja tuumie vizuri
.....
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…