Makapuku nataka nisogee nje ya mkoa nielekee kanda ya ziwa, msaada tafadhali wapi napata usafiri hata wa lori najua siwez afford bus mimi kapuku, destination mwanza, bihalamuro, kahama.
Makapuku nataka nisogee nje ya mkoa nielekee kanda ya ziwa, msaada tafadhali wapi napata usafiri hata wa lori najua siwez afford bus mimi kapuku, destination mwanza, bihalamuro, kahama.
Natangaza rasmi leo ndio najiunga na Makapuku rasmi kwa moyo wangu mkunjufu bila kusukumwa na mtu Bitozlee empirewerrasonBlessedHopeJimenaTranscend nahitaji mnipokee, mnielekeze na kunisapoti ili kufuata ilani ya makapuku inavyosema
Karibu, hapa ni chitchat tunapiga stori za maisha, michezo, vichekesho na utani ule mzuri.....tunakuja hapa kutua stress so ni mwiko kutusi/kuudhi member mwenzio hapa ni peace n love