Hakuna siku mbaya maishani kama kuona mtu uliyesoma naye darasa moja, anakupita na private car,, halafu wewe umeninginia kwenye daladala,,,
tena ulikua unamzid maksi darasani hapo ndo utajua kwanini gunia na dunia zinatofautiana herufi moja tu
................