lisemwalo lipoUzuri jana nimeshinda na kipenda roho bonge wangu Shunie
Subiri mukongo akutane naye amwage pesa kwa shunie kama hutakanwa kuw wewe ni shamba boy
shululu nakupenda ujueKwa hiyo unakubali kuwa huwa unachepuka?
Morning all kapukuz!Morning all
Morning malkiaaMorning all
Mkuu ,shemela mzima ??Morning all kapukuz!
Na kweli unampenda sana shemela wako ata mm nalitambua hiloshululu nakupenda ujue
Bhinamuuuuu mengine unajifunzia kwenye rough paper alafu anacancell
Udaku malkia Leo anashirikiana vyema na mkuu QUIGLEY
Twende sasa
Lee na shunie wanawatakia weekend njema
wabongo jamaniii hadi umbea wa marekani siku hizi tunaandika, eti trump kavunja ndoa ya kim dooh.....lee hujambo?
kwani obe umeelewa kumpenda vipi
Mornie malkiaMorning all
Ndio nimesomaa,,mimi mzima malkia vip umesoma yote ??