niliyapitia baba biteAsante na wewe kwa kupitia tena make yote uliyapitia kabla hayajawekwa
MmhAhaaaaaaaah wote walewale
Mfyuuu[emoji298][emoji298]BREAKING NEWZ[emoji298][emoji298]
Baada ya Frederic Richard kujitoa uhai.....mwanaume mwingine mwanafunzi wa udsm baada ya kusalitiwa na mpenzi wake kakutwa chumbani kwake kanywa maji ya baridi ya Azam uku anaangalia season!!
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Maduka yapo mengi ila itategemea na unahitaji nini mkuu kutokana na bajet yakoWakuu Nataka nikachukue mzigo wa urembo wa elfu hamsin tu Wapi duka zuri kwa bei ya jumla
Ulifikiri ni jirani joh....???Mfyuuu
Umemwelekeza vizuri ,au simply zinakopaki daladala za ubungo ,manzesenenda kkoo postal bank upande wa pili kuna mtaa ingia nao hapo hapo wanauza maurembo na mavitu vitu mengine ya kike kwa jumla mtaa unaitwa muhonda
Bora angekunywa kilimanjaroo[emoji14][emoji298][emoji298]BREAKING NEWZ[emoji298][emoji298]
Baada ya Frederic Richard kujitoa uhai.....mwanaume mwingine mwanafunzi wa udsm baada ya kusalitiwa na mpenzi wake kakutwa chumbani kwake kanywa maji ya baridi ya Azam uku anaangalia season!!
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Usimkatishe tamaa lee acha aende nilipomuelekeza atapata vingi kwa hela hiyo wanauza jumla kule mpk kuanzia elf 1Maduka yapo mengi ila itategemea na unahitaji nini mkuu kutokana na bajet yako
Mfano iyo 50 unaweza ukanunua Queen Elizabeth makopo mawili ,naonaga Shunie wangu anachukua kwa moja nusu ya bajet yako
hahahhhhaUlifikiri ni jirani joh....???
Hapana msimbazi police mbele si kuna postal bank akifika pale anavuka barabara anaingia na mtaa anaotizamana unaitwa muhondaUmemwelekeza vizuri ,au simply zinakopaki daladala za ubungo ,manzese
Sorry baby sijamkatisha tamaa ,atapata kweli ulikomwelekezaUsimkatishe tamaa lee acha aende nilipomuelekeza atapata vingi kwa hela hiyo wanauza jumla kule mpk kuanzia elf 1
Ndo apo apoHapana msimbazi police mbele si kuna postal bank akifika pale anavuka barabara anaingia na mtaa anaotizamana unaitwa muhonda
lee utamchanganya mabus ya mbezi yanapark nyuma kabisa opp na msimbaziNdo apo apo
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]lee utamchanganya mabus ya mbezi yanapark nyuma kabisa opp na msimbazi
Dah, UKAWA wamevamia mpaka hukutena zaidi yy alikuwa anapita mlango wa uwani kuingilia chumbani bora kina fakalava Transcend Mkoroshokigoli walikuwa wanabweka bweka barazani tu. nashukuru baba wangu Clkey msomi anajielewa
Kuwa na huruma malkiaBora angekunywa kilimanjaroo[emoji14]
Ila baby ndo apo apo tena yanapaki hadi kwenye maduka uko sababu ya mwendo kasilee utamchanganya mabus ya mbezi yanapark nyuma kabisa opp na msimbazi
Aisee[emoji298][emoji298]BREAKING NEWZ[emoji298][emoji298]
Baada ya Frederic Richard kujitoa uhai.....mwanaume mwingine mwanafunzi wa udsm baada ya kusalitiwa na mpenzi wake kakutwa chumbani kwake kanywa maji ya baridi ya Azam uku anaangalia season!!
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Shemela vpnenda kkoo postal bank upande wa pili kuna mtaa ingia nao hapo hapo wanauza maurembo na mavitu vitu mengine ya kike kwa jumla mtaa unaitwa muhonda