Makapuku Forum

Makapuku. Kumekucha. Kwa wasio na ajira rasmi na wenye ajira ambazo hamridhiki nazo. Oprah Winfrey huyu hapa akiwaasa. Msiogope wala kuchagua kazi. Fanyeni cho chote muwezacho mpaka pale mtakapokuwa na nafasi na uwezo wa kufanya mkitakacho. Hakuna kuona aibu wala kurudi nyuma. Blessings!
 
Na mhalifu mjinga wa leo ni mwenyewe Jeffrey Dahmer mla watu. Mwl. Nyerere aliwahi kusema kuwa ukila nyama ya mtu utaendelea kuila tu hakuna kukoma. Dahmer alionja nyama ya mtu na hakuweza kuacha. Polisi walimkuta amejaza majokofu yake viungo mbalimbali vya binadamu tayari kwa kukaangiza. Kilichowashangaza ni kwamba jamaa hakuwa na wasiwasi kabisa aliponaswa. Aliwaambia mapolisi "Duh! Safari hii inaonekana nimelikoroga ile mbaya". Ujinga na tamaa vilimzidi akajaza nyama kila mahali mpaka zingine akakosa mahali pa kuzihifadhi akawa anazi-flush kwenye choo. Choo kilipoziba ndipo mambo yakamharibikia...
 
Asante mkuu hii segment tuliimis
 
“Ingawa nimebarikiwa kwa kuwa na utajiri, lakini huo utajiri haujanibadilisha, bado miguu yangu inakanyaga chini, ardhini.”- Oprah Winfrey
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…