Makapuku Forum

Tatzo huwez kuwa kama vijana wa sasa..,...
Mkuu, kwani mimi ni kijana wa zamani? Daktari alinitisha aliponichimba mkwara eti nilikuwa nanyemelewa na hypertension. Na dawa pekee ilikuwa ni kuacha pombe na kupunguza uzito otherwise eti angenianzishia dozi kama asingeona mabadiliko. Nilimpa miezi mitatu na niliporudi hakuna cha pre-hypertension wala nini. Ni vizuri kuwa na afya nzuri na kuonekana vizuri pia!
 
Inaelekea u kibonge
 
Kuwa kibonge ni tatizo mkuu? Le Mutuz mbona yupo anatetemesha Bongo na ukibonge wake? I was kibonge then siyo sasa. Nataka niwe kama wewe Kagame


...hahahhaha, ili uwe kama Kagame fanya mawili;
1. Anza uchoyo/husuda
2. muwekee dhamana mtu asiyeaminika apotee halafu mahakama ikupe wiki 2 kumleta mtuhumiwa vinginevyo.....
 
Inategemea mkuu, mm hata ninywe mafuta ukibonge hauji
Una genes nzuri na metabolism ya mwendo kasi...

Ila kuna jamaa tulikuwa naye o'level alikuwa mwembamba kama fito naye alikuwa anajigamba kama wewe kuwa hata anywe mafuta kamwe hanenepi. Nimekuja kugongana naye mwaka jana maweeee! Hata akina Le Mutuz wawili wanaingia. Nikamuuliza "John what happened?". Jibu lake sasa " Kwani hata mimi najua basi?" Hata wewe mkuu jihadhari. Kunenepa rahisi kukonda kugumu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…