[emoji28][emoji28][emoji28]tupooo
Papaaa hivi vipipi kama bazoka
kazi ipoTukayapitie magazeti kama yalivoandikwa kwa udhamini mkubwa wa Quigley
posho byebyeee
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
Ngada kweli inawamaliza vijana
siri sirini
Watakuwa wa udsm make term hii vijana wanasema wemelamba dume
mkuu ila kiukweli yake maneno yalikuwa makali [emoji115] [emoji115]
yeyote ataguswaa ..
Lee ubarikiweKwa udhamini murua na mnono wa mkuu Lothrito tuone udaku kuna nini
kazi ipo kwelikweli .vijana wanapotea
Tukatafute tonge la Leo
Asante shunie wetu ,tunakupendaLee ubarikiwe
Tunabadilisha maji taka kuwa maji safii ....[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]ha ha kwahyo iko kiwanda cha nn
Ipo kwelikweliiikazi ipo
Nawapenda pia lee [emoji8][emoji8]Asante shunie wetu ,tunakupenda
ooh yale maji meupe mbona mwanzo ulinikataliaTunabadilisha maji taka kuwa maji safii ....[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Asante sana mrembo wetu na vizuri unatutembelea mapema Siku hiziNawapenda pia lee [emoji8][emoji8]
[emoji87] [emoji87] jamani angalia vizuri palipo na moto ndo maji taka tunaweka kinachotoka kitu 'super 'ooh yale maji meupe mbona mwanzo ulinikatalia
Mmh ngoja nirudie[emoji87] [emoji87] jamani angalia vizuri palipo na moto ndo maji taka tunaweka kinachotoka kitu 'super '
Wasukuma tuliwakosea nini jamani? Sasa hapa si kuna hatari ya kusafoketi kabisa? Kazi kwelikweli!
Inamaana shunie wangu huniamini??Mmh ngoja nirudie
Hapana, ni weweNdiyo wewe huyo
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]Tunabadilisha maji taka kuwa maji safii ....[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
AsanteNawapenda pia lee [emoji8][emoji8]
Unajua wasukuma Wana watani wengi sanaWasukuma tuliwakosea nini jamani? Sasa hapa si kuna hatari ya kusafoketi kabisa? Kazi kwelikweli!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Wasukuma tuliwakosea nini jamani? Sasa hapa si kuna hatari ya kusafoketi kabisa? Kazi kwelikweli!