Makapuku Forum

Fundi majeneza alipata oda ya Jeneza akawa anapeleka kwa gari lake. Njiani gari ikaharibika, akaamua kubeba kichwani kumpelekea mteja wake akakutana na askari wa4 wakiwa doria, akajua lazima watataka rushwa.

Askari;- Unakwenda wapi na hilo jeneza usiku huu?

Jamaa:- Nilikuwa nimezikwa makaburi ya Sinza sijapapenda ndo naelekea Kinondoni nikajizike karibu na Kaburi la mtu maalufu au mnanishaurije?
*MPAKA SASA HIVI ASKARI HAWAJULIKANI WALIPOKIMBILIA*.
 
 
 
Hahahahaha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…