Makapuku Forum

Mmesikia ajali huko Colombia ndege tenye abiria 81 wakiwepo wacheAji wa klabu fulani ta Brazil imeanguka na waliopona ni 6 tu

Mchezaji aliyenuaurika ni mmoja tu ambayo ni beki

Man Utd iliwahi kupatwa na balaa km hilo
......
 
Me now ndo naingia mtandaoni, thanks for the news Toz

M.U labda walitoa kafara ili kuja kuvunja rekodi.....si unaona hata a.k.a. yake
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…