Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,652
- 25,849
Avatar yako inapatikana mtaa wa pili
Hao ni mbumbumbu
Wanaoga kila kitu
Nipo kwenye mchakato wa kutumia picha yangu halosi japo nitaiedit ili sura isionekane vizuri
Au ambayo haioneshi sura
...ndo dawa maana hakuna atakayeitumia
........
