Makapuku Forum

Makapuku Forum

images
 
Umekaa na Demu mpya ghetto afu una hamu nae kinoma tangu alasiri mpaka saa kumi na mbili jioni mkipiga stori za hapa na pale! Mara unaskia

Demu😀arling hivi kesho saa nne asubuhi ntapata bajaji from here????

HAPO NDIPO UNAONA KUMBE BAHATI ZIPOGO!!!
 
Gerezani kuna vituko balaa

Kijana mmoja alifungwa kifungo cha maisha kwa kosa la kubaka ng'ombe, ratiba ya huko gerezani kila ijumatatu ni wali nyama ya ng'ombe... Maneno yanayotoka kwa wafungwa wenzake sasa"leo siku ya wali na shemeji jamani"

chanzo: supermarket
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom