Makapuku Forum

Nimekutana polisi mjini wakaniuliza mbona unatembea usiku? Nami nikawauliza kwani usiku watu wanaogelea?.
Sasa hivi nipo zangu kwenye defender yao nafikiri wananipeleka nyumbani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12]
 
Labda nyumbani kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…