Makapuku Forum


Ni mtoto wa pekee kwa mama na baba
......
 
[emoji71] Mzungu alisafiri na Mbongo[emoji67]kwenye ndege[emoji574]

wakakaa siti moja

Mzungu[emoji71]akamdharau�� sana Mbongo
nakujiona anajua kila kitu duniani!,

Akamwambia Mbongo waulizane maswali
na Mbongo akishindwa anatoa sh.500 na
endapo yeye atashindwa atatoa 100,000/=

Mzungu [emoji71]akauliza ni nchi ipi ilishindwa
kwenye vita kuu ya kwanza ya Dunia?

Mbongo[emoji67] akatoa Jero kuashiria hajui.[emoji19][emoji23]

Na yeye akamuuliza Mzungu, ni kitu gani
kikienda juu kina miguu minne na kikirudi
chini kina miguu mitatu?��

Mzungu akafikiria[emoji4] akakosa jibu akatoa
100,000/= kuashiria hajui ila akataka kujua,

akauliza ni nini hicho?

Mbongo akatoa Jero kuashiria hata yeye
hajui!.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbongo [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 

duuh...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…