makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,441
- 108,486
Unatutusi waislam, tutake radhi bhanaMsikiti ili waislamu washindie huko...uzalishaji mali ushuke
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
....
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kante alikuwa wapi siku ya arsenal?
Mie nna wasiwasi huyo mmoja aliyelengwa katika kila wa4 wewe ndio kiongozi hao..Nahisi katika wale wanne we ni mmoja wapo
Sasa mpira nini kama sio magoli?
Wengine wakishinda mpaka kero[emoji12] Hizi storry za Man United na Chelshit haziishi tu?
Alitaka kujua tuUnatutusi waislam, tutake radhi bhana
Hakuna mahala muislam kafundishwa agande msikitin 24/7, imeamrishwa kila muislam afanye ibada n then awahi haraka kwenda kujitaftia riziki.. Sala haichukui dk 10.
Kipofu mmeona mwezi, basi mnajidai sanaNilifikiri ni arsenal kumbe we ni pogback
Kwani ulishanifunga basi hii ni game ya nane chelsea wameshinda 4 na sare 4 sana sana nimekuongezea maumivu tuKipofu mmeona mwezi, basi mnajidai sana
Mcheki huyo wa kati kavaa skinny kama vile inamaua maua..nmekuwa bize kidogo kwa 7bu ya graduation ya mwanetu, hvyo karibuni sana
Chalii za A.Rnmekuwa bize kidogo kwa 7bu ya graduation ya mwanetu, hvyo karibuni sana
Wana undugu na KaogeChalii za A.R
Hahaa...Wana undugu na Kaoge
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
......
Nahisi kama waandae kapu la magoli