Makapuku Forum

1903 - Melvis Pulvis anazaliwa.

Alikuwa ni FBI mashuhuri ambaye alisifika sana kwa kupambana na wahalifu wakorofi katika miaka ya 1930's. Wahalifu hao ni kama akina John Dillinger na wengineo.

Aliacha kazi katika mazingira ya kutatanisha kabla hajafa kifo cha utata.
 
Kifo cha utata ni lazima, kwa mazingira hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…