Profesa1949 - Arsene Wenger anazaliwa.
Ni kocha wa Arsenal toka nchini Ufaransa.
Ni mmoja kati ya makocha wanaoheshimika sana katika ligi kuu ya England.
Anakumbukwa kwa kuiongoza Arsenal kuchukua ubingwa wa EPL bila kufungwa katika msimu wa 2003/04.
Anabusara na hekima ya hali ya juu sanaAna kipara lakini pia ana busara sio kama yule wetu.
1943 - Seif Shariff Hamad anazaliwa.
Ni katibu mkuu wa chama cha wananchi CUF.
Alipata kushika wadhifa wa kuwa Waziri Kiongozi katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Pia alishika wadhifa wa Makamu wa kwanza wa Rais katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar.
Anatajwa kama mwanasiasa anayekubalika sana huko Visiwani licha ya kutoka kwake Upinzani.
Mwaka 1998 alikamatwa pamoja Hamad Rashid na kuwekwa Kizuizini kwa makosa ya kutaka kupindua Serikali ya Rais Salmin Juma Komandoo.
1949 - Arsene Wenger anazaliwa.
Ni kocha wa Arsenal toka nchini Ufaransa.
Ni mmoja kati ya makocha wanaoheshimika sana katika ligi kuu ya England.
Anakumbukwa kwa kuiongoza Arsenal kuchukua ubingwa wa EPL bila kufungwa katika msimu wa 2003/04.
1968 - Shaggy anazaliwa.
Ni mwanamuziki toka nchini Jamaica.
1975 - Michel Salgado anazaliwa.
Ni beki wa zamani wa kulia wa Real Madrid na rimu ya taifa ya Spain.
2002 - Richard Helms anafariki Dunia.
Alikuwa ni Mkuregenzi wa 8 wa Shirika la Ujasusi la Marekani CIA.
Kamsome mzee wa feki kaporomosha yakeLeo katika Historia:
Zimebaki siku 70 kabla ya mwaka huu kufikia tamati.
Kwa udhamini mnono wa Kagera Sugar " Wanankurukumbi " niwatakie Jumamosi njema na sabato njema kwenu.
hahaha...sawaKamsome mzee wa feki kaporomosha yake
Anasifiwa ana IQ kubwa
Nafikiri kakuzidi X 10000
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
.......
Pia km dispute ya Lake NyasaYaani hao mgogoro wao ni kama Palestina na Israel.
Kuna muda wanatulia, kuna muda wanapigana.
Nahisi katukanwa kijanjahahaha...sawa
HaaaahaaaaNahisi katukanwa kijanja
"una IQ kubwa"
Jf wajanja wengi unaweza fikiri umesifiwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
yah..Pia km dispute ya Lake Nyasa
.......
Mtu akinisifia naangalia kwanza nilichofanya ili nijiridhishe nasifiwa kweli au nadhihakiwaHaaaahaaaa
Hii ni principle nzuri sanaMtu akinisifia naangalia kwanza nilichofanya ili nijiridhishe nasifiwa kweli au nadhihakiwa
Ndo kanuni yangu
........
Ndio maana kuna tofatri kati yaHii ni principle nzuri sana
Aiseeee jamaa Alikuwa mnoma