Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
1947 - Nchi za Marekani na Pakistan zaanzisha mahusiano ya kidiplomasia kwa mara ya kwanza.
1952 - Gavana Evelyn Baring wa Kenya anatangaza hali ya hatari nchini humo na kuanza kukamata mamia ya wakenya akiwemo Jomo Kenyatta na kuwaweka kizuizini.
1968 - Mke wa zamani wa Rais JFK wa Marekani, Jacqueline Kennedy anaolewa na Tajiri anayemiliki meli za kifahari, Aristotle Onassis.
Hii ilikuwa ni miaka 5 baada kifo cha mumewe aliyeuwawa kwa kupigwa risasi huko Dallas.
Morning shululuMorning
Njema habari kwako piaHabari MAKAPUKU wenzangu
PamojaAmen
1973 - Jengo la Sydney Opera House lazinduliwa na Malkia Elizabeth II baada ya ujenzi uliochukua miaka 14.
1936 - Bobby Seale anazaliwa.
Ni mwanzilishi wa Chama cha Black Panther huko nchini Marekani.
1951 - Claudio Ranieri anazaliwa.
Ni kocha wa zamani wa Chelsea, Atletico Madrid, Monaco, Inter Milan, As Roma, na sasa Leicester City.
Kocha huyo wa kiitaliano maarufu kama " Tinker Man " msimu uliopita alishinda taji la EPL bila kutarajiwa na kikosi cha Leicester City.