Karibu makaveliKama zali, naingiza maguu tu, na nukuu hyo hapo..
Nzuri sana nduguHabar zenu ndugu zangu
Unatafutwa na kikofiaMaisha ni kama kioo tu
Ukiyanunia yatakununia
Ukiyachekea yatakuchekea tu
Ukiyakasirikia yatakukasirikia tu
Mko poa humu ndani
Nzur mzma weweHabar zenu ndugu zangu
Umemuona kimalio?Hi Guys I think dis Saturday wil b the last day tutaonana kwa wale ambao tutaweza Kuonana. Coz nimepata Scholarship and I will be travelling to London on monday.I wil be going for three years il miss u sana pray for me .may God be with you all.Please Foward this msg to all who know me. Coz pia mimi nimefoward hata sijui nani anaenda huko London,..
May GOD bless u all
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Naona unaanza kunikosea heshimaNmewamic ile kindaki ndaki
Mussolin kubwa la maadui
Bitoz nyangema mvaa surual chini ya mkia a.k.a ndumilakuwili
Briz tulioa mlango mmoja
Jimena jimenes shem lake toto la kilatin
Sacajo askari wa kuunga unga
Mkwepa kodi adui wa jpm
The book, dogi kitabu mrithi madhubuti wa sczny
Jonax kikofia
Werrason andunje wa misitu ya kongo
Cwt"p" liwazo la moyo wangu
Quigley pendapenda
Shululu jirani mwema
Bailly beki wa mashetani
Na wengine kibao kibao..
Ngoja nmchokozeUmemuona kimalio?
Jambo mpJambo humuu
KaribuNimewakumbuka kinyama ndugu zangu
Kweli mjani mbayaHi Guys I think dis Saturday wil b the last day tutaonana kwa wale ambao tutaweza Kuonana. Coz nimepata Scholarship and I will be travelling to London on monday.I wil be going for three years il miss u sana pray for me .may God be with you all.Please Foward this msg to all who know me. Coz pia mimi nimefoward hata sijui nani anaenda huko London,..
May GOD bless u all
Shukrani kaka..Karibu makaveli
Leta khabar sheikhNzuri sana ndugu
Mzima sana, sijui wewe afandeNzur mzma wewe
Hapana kwa kweli afande [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] Naona unaanza kunikosea heshima
Jambo, jambo afande!!?Jambo humuu
Upoo.......Mbona shemela wetu simuoni siku hiziJambo, jambo afande!!?
Upo shululu???Jambo mp
Me mzmaaMzima sana, sijui wewe afande