Kuchukua la aliyefaulu ni tatizo inadhihira kichwani hazipandiWatu wengi hawajui kwa undani sana mtiririko wa Elimu yetu tangu zamani ulivyokuwa, Kwanza ilikuwa ni ngumu sana kufauru, unarudia shule au kununua jina la mtu akiyefauru na hana uwezo wa kulipa Ada, unachukua jina na unapiga shule bila matatizo kabisa
Ndoto za kuwa na Africa isiyo na ukabila haimaanishi kutokuwa na tofauti za kikabila katika Bara la Africa wala kifo cha kawaida cha kabila za asili za Africa
Tofauti za utamaduni na lugha ni utajiri iliorithi kutoka kwa wahenga wake. Changamoto imekuwa ni jinsi ya kutunza utajiri huo bila kuchochea migogoro ya kikabila na kutetelesha utaifa
Maneno haya ni kutoka kwa Profesa mashuhuri Alli Mazrui katika kitabu kinachoitwa Julius Nyerere Africa's Titan on a global stage,
Kilichoandikwa na Profesa Mazrui pamoja na Lindah L Mhando, chini ya mada "post -Tribal Nyerere to post -Racial Obama. Comparative vision in political Leadership
NUKUU NO 2#
Sokoine alipata nguvu kwa Mwalimu Julius Nyerere, kwa sababu Mwalimu alikuwa haingiriki kwa rushwa.
Hakuna ambaye angethubu kumuhonga kambarage Nyerere, na Sokoine alikuwa na sifa hiyo hakuna ambaye angeweza kufikiria kwamba ampelekee Sokoine rushwa.
Maneno haya yamepata kutamkwa na mwanasheria maarufu nchini, Mabere Marando.
NUKUU NO 3#
Nikitofautisha haki -Jamii (social justice) na haki sheria ( legal justice)
Haki-sheria maana yake ni kila mtu ana haki sawa mbele ya sheria. Huu ni msingi wa mfumo wa kibwanyenye. Sheria haijari wewe ni nani -masikini au tajiri -wote mna haki sawa.
Kwa mfano, haki ya kuishi. Lakini katika hali halisi usawa huo ni wa kinadhalia tu, kwa sababu masikini na tajiri, kwa vyovyote vile sio sawa
Haki -sheria haiangalii hali halisi, haijali tofauti za kijamii na za kiuchumi Kati ya mtu na mtu. Kwa sababu kinacholinganishwa katika dhana hii sio ubinadamu bali ni haki
Maneno haya niya Profesa maarufu Issa Shivji kutoka katika mada alioiwakilisha kwenye kongamano la kuadhimisha kumbukumbu ya kifo cha Mwalimu Julius Nyerere, kongamano lililoandaliwa na taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF)
Kama zali, naingiza maguu tu, na nukuu hyo hapo..Nukuu ya leo itawajia hivi
Teh teh teh!! Kabugi kidogo..kwa sasa ana miaka 83????????
Jumlisha hizo single zako utapata albam [emoji23] [emoji23]ETI
Umeshawahi kuwa single hadi ukaamua kununua viatu vya kike kisha ukaviweka mlangoni ili majirani wakipita wajue una demu ndani...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
KUA SINGLE NAO NI UGONJWA EEENH!!!
Huyu vip alikutana na scorpion nini!?
Hahaa... PoleSorry, hisabati inanisumbua
Demu wa bitoz bhana!!!
[emoji12] KEI SIEM SIIHospital gani kwa mfano