Sio wewe tu! Watz kwa ujumla[emoji23]Sorry, hisabati inanisumbua
Kimeshuka sanaDante kiwango kimeshuka
Tatizo la nchi hiloSorry, hisabati inanisumbua
kwa sasa ana miaka 83????????1933 - Dante anazaliwa.
Ni beki wa kati wa zamani wa klabu za Bayern Munich, Wolfsburg na sasa Nice ya Ufaransa.
Pia huchezea timu ya taifa ya Brazil.
Atakua mtata naeKapika la asubuhi kabla hajaenda kwenye shughuli
Atanyooka tuHuu ni muda wa darasani
Mwalimu: Nitajie wanyama kumi unaowafahamu
Mwanafunzi: Paka 9 na mbwa 1
_huyo mwanafunzi, nimeacha ndio anapelekwa kwa Mwl. Frank Msigwa_
[emoji3][emoji3]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]kwa sasa ana miaka 83????????
Habari.
Ni matumaini yangu kuwa wote ni wazima. Napenda kuwaalika katika sherehe ya ndoa yangu, ni mda mrefu sasa wengi mkiisubiri! Harusi itafungwa katika kanisa la bugando mwanza jumamosi 19 mwezi wa kumi 2016 na baadae sherehe kufanyika katika ukumbi wa malaika. Mnakaribishwa sana njooni bila kukosa. Tuma sms hii kwa watu wengi uwezavyo.....Hata pia mimi nimeforward tu sijui ni ya nani...
From-Dennis/Mjeda
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]*Et*
Umeshawahi kuwa single hadi ukaamua kununua viatu vya kike kisha ukaviweka mlangoni ili majirani wakipita wajue una demu ndani...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
KUA SINGLE NAO NI UGONJWA EEENH!!!
Ndio hivyoHamna laana mbaya kama kukata tamaa katika maisha.
Katika maisha pambana kivyovyote vile uwezavyo ili ufanikiwe(Pesa)View attachment 420259[emoji383] [emoji385] [emoji385] [emoji386] [emoji387] [emoji384]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kwa sasa ana miaka 83????????
Watu wengi hawajui kwa undani sana mtiririko wa Elimu yetu tangu zamani ulivyokuwa, Kwanza ilikuwa ni ngumu sana kufauru, unarudia shule au kununua jina la mtu akiyefauru na hana uwezo wa kulipa Ada, unachukua jina na unapiga shule bila matatizo kabisaMimi nishawahi kukutana na waheshimiwa/watu maarufu na kuongea nao hivyo nachukuliaga kawaida tu maana pia wapo ndugu zangu wa karibu ambao ni maarufu lakini sihangaiki nap sana
Nilichokiona kwa Mwigulu ni upambanaji wake kimaisha wkt wajinga wanaona utata tu wa hayo majina
....................