Iyegu
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 6,276
- 12,424
Kweli aiseeKaokota picha zilizoexpiryView attachment 419844
......
Mbona kweye line up Fellain anaonekana anaanza na siyo Mata?
Kwani Kuna tatizo?Mbona kweye line up Fellain anaonekana anaanza na siyo Mata?View attachment 419861
Naona line up ziko na fictionKwani Kuna tatizo?
Angalia TV sasa utaiona halisiNaona line up ziko na fiction
Halisi ni hii yangu nliyoileta hapaAngalia TV sasa utaiona halisi
Alafu we mpambe..Wale wa mbande, kibamba, sombetini, buzuruga, area d na kihesa, kipute kinaanza
Wale wenye pressure wawe karibu na ambulance [emoji603] na maji ya kutosha
Fellain ndani
Ngoja tuoneliverpool..................man u
!!!!![]()
Muda siyo mrefu jogoo analiaWanaogopana hawa
Huyo Mata anaingia kipindi cha piliUpande wa Man angakuwepo Mata wangeishafunga, maana hakuna mtu anayetembea na mpira