Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,322
- 68,399
Km mtu ana segment cha msingi kuzibiana mapengoAsante kwa taarifa najua sio mvivu, nimeandika kuonyesha hisia zangu tu, barikiwa
AmenAsante kwa magazeti mkuu Quigley
Morning kakaMorning all
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Km mtu ana segment cha msingi kuzibiana mapengo
*Top Ten
*Magazeti
N.k
Km wenyewe hawapo/hawaleti
....
Mbona jana ulikimbia mapema kama kuku?Powa Kapuku mwenzetu
Leo katika Historia:
1923 - The walt disney company yaanizhwa huko California na ndugu wawili ambao ni Walt Disney na Roy Disney.
Hongera kwa wananchi kuua Panya road.
AhsanteAsante nawe pia
Wewe ni mse.nge?Mbona jana ulikimbia mapema kama kuku?
Eti wewe ni team LeicesterTuko poa
[emoji120] [emoji736]Ahsante
Hongera kwake1984 - Askofu Desmond Tutu anapewa tuzo ya amani ya Nobel.
Safi1973 - Henry Kissinger ambaye alikuwa ni mshauri wa masuala ya Ulinzi Marekani na Le Duc Tho wa Vietnam wapewa Tuzo ya amani ya Nobel kwa mchango wao wa kusitisha Vita ya Vietnam.