Makapuku Forum

Hata nusu msimu bado
Wapo vizuri lakini wanapigwa tu
......
 
Mbwana samatta anaechezea ligi kuu ya ubelgiji na timu ya Genk ametajwa kwenye orodha ya majina ya wachezaji watakao wania tuzo ya mchezaji bora wa afrika.

Tumuombee samagoal77
Hayo maombi hata ukiyafanyia mt. Kilimanjaro Mbwana Sammata hawezi kishinda.

Hii tuzo ni ya Aubameyang tu, hana mpinzani kwa sasa Africa
 
Hayo maombi hata ukiyafanyia mt. Kilimanjaro Mbwana Sammata hawezi kishinda.

Hii tuzo ni ya Aubameyang tu, hana mpinzani kwa sasa Africa
Umenifurahisha
Kuna watu wanaamini ktk maombi badala ya data

Ni sawa na mtu mwenye rundo la sup na carry afanye maombi amuombe Mungu ili agraduate with Honours degree
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…