Makapuku Forum

Hahahahaha hata masikio siyaoni
 
Leo katika Historia:

1933 - Chama cha Nazi cha Ujerumani chini ya uongozi wa Adolph Hitler chaiondoa Ujerumani kwenye Jumuiya ya Mataifa ( League of Nations ).

Hali hii ilipelekea uwepo wa taharuki kwa baadhi ya Nchi nyingine Duniani. Ilisababisha kutokea kwa vita kuu ya pili ya Dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…