Makapuku Forum

1923 - Margaret Thatcher anazaliwa.

Alikuwa ni Waziri Mkuu wa Uingereza kwanzia Mwaka 1979 - 1990

Alijulikana kama " Iron Lady " kwa uongozi wake uliotukuka na alipewa jina hilo na mwandishi wa habari toka nchini Urusi.

Ndio Waziri Mkuu wa kwanza Mwanamke katika historia ya Uingereza. Pia ndio alikuwa Waziri Mkuu aliyekaa madarakani kwa muda mrefu zaidi Uingereza katika karne ya 20.

Katika utawala wake alikuwa na urafiki mkubwa sana na Rais wa Marekani wa kipindi hiko, Ronald Reagan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…