Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,303
- 68,387
Wanataka wapewe EFD machine, ili serikali iwe inapata kodi
Humu humu hahahahahaUnawasubiria wap?
Morning, vp ukanda huoMorning shululu
Powa kapuku
Nzuri kapukuHabari ya asubuhi MAKAPUKU WENZANGU?
Itakuwa jambo la maana sana maana itapunguza wakwepa kodiWanataka wapewe EFD machine, ili serikali iwe inapata kodi
Familia haijambo?Salamaaaaa saliminiiiiii
Aisee walikuwa na bahati sana, hapa kwetu wote wangekuwa marehemu2010 - Wachimbaji 33 wa Madini katika mgodi wa Copiapo huko nchini Chile waokoloewa baada ya kufukiwa chini kwa siku 69 kabla ya kuokolewa wakiwa wazima.
Hao ni wanandoa?
Malaya wanajiuza hahahahahaHao ni wanandoa?
Kwema MKWEPA KODINzuri kapuku
Hatujambo niaje The Bookaisee humu hamjambo??
1887 - Jozef Tiso anazaliwa.
Alikuwa ni Mwanasiasa, Mchungaji na Rais wa Slovakia.
Kwema ndugu yangu vipi weweKwema MKWEPA KODI
Duuh yaani ile huduma ina risiti siku hiziMalaya wanajiuza hahahahaha