Hili nalo neno... [emoji15][emoji15], unakuta mtu umekula biere tu mwaka mzima [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji134] [emoji134] [emoji134] muda wa kuweka mizani uone kama malengo ya mwaka huu yamefanikiwa kwa kiasi gani[emoji17]
1970 - Rais wa Marekani wa kipindi hiko, Richard Nixon anatoa kauli ya kupunguza wanajeshi 40,000 kutoka katika Vita ya Vietnam kabla ya Sikukuu ya Krisimasi.
Vita hiyo maarufu ya Miaka ya 1960 - 1970 ilipigwa katika misitu minene hali iliyopelekea Wamarekani kushindwa vibaya vita hiyo ya mSituni.
Mi yamefanikiwa[emoji134] [emoji134] [emoji134] muda wa kuweka mizani uone kama malengo ya mwaka huu yamefanikiwa kwa kiasi gani[emoji17]
Duh!! Ilikuaje hii ama ilipangwa??1960 - Watazamaji wa Televisheni nchini Japan,katika hali isiyotegemewa washuhudia mauaji ya kiongozi wa chama cha Kijamaa nchini humo Inejiro Asanuma aliyekuwa anahutubia live kwenye televisheni.
Ki nchi kidogo kina bahari tu ,wao ni uvuvi na kuzamia baharini
Ilikuaje akapona ,hakufika hotelini au ilikuaje?1984 - Waziri Mkuu wa Uingereza Bibi Margaret Thatcher " Iron Lady " ananusurika kuuwawa katika bomu lililotegwa katika Hoteli ya Brighton.
1984 - Waziri Mkuu wa Uingereza Bibi Margaret Thatcher " Iron Lady " ananusurika kuuwawa katika bomu lililotegwa katika Hoteli ya Brighton.
Aisee1960 - Watazamaji wa Televisheni nchini Japan,katika hali isiyotegemewa washuhudia mauaji ya kiongozi wa chama cha Kijamaa nchini humo Inejiro Asanuma aliyekuwa anahutubia live kwenye televisheni.
Wamarekani vita vya ardhini na msituni ni wachovu1970 - Rais wa Marekani wa kipindi hiko, Richard Nixon anatoa kauli ya kupunguza wanajeshi 40,000 kutoka katika Vita ya Vietnam kabla ya Sikukuu ya Krisimasi.
Vita hiyo maarufu ya Miaka ya 1960 - 1970 ilipigwa katika misitu minene hali iliyopelekea Wamarekani kushindwa vibaya vita hiyo ya mSituni.
Scotland yard walifanya kazi yao ipasavyo1984 - Waziri Mkuu wa Uingereza Bibi Margaret Thatcher " Iron Lady " ananusurika kuuwawa katika bomu lililotegwa katika Hoteli ya Brighton.
1986 - Malkia Elizabeth wa II anatembelea Jamhuri ya watu wa China.
Inapatikana kwenye mstari wa longitude/latidude nyuzi 0 (IKWETA) ndio chimbuko la jina Cuinea ya IkwetaKi nchi kidogo kina bahari tu ,wao ni uvuvi na kuzamia baharini
Umeonaeeh!!!Hili nalo neno... [emoji15][emoji15], unakuta mtu umekula biere tu mwaka mzima [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Hongera.....dadako anakusalimuMi yamefanikiwa
Lengo langu lilikuwa kutembea na mademu wa Kicongo wapaka mkorogo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
Ukiwa daktari wake na wewe ni Me unateguliwa muhogo!!![emoji134]1986 - Malkia Elizabeth wa II anatembelea Jamhuri ya watu wa China.
Wapo vizuri angani aseeWamarekani vita vya ardhini na msituni ni wachovu
Angani wapo vizuri sanaWapo vizuri angani asee
Yes.,,,Inapatikana kwenye mstari wa longitude/latidude nyuzi 0 (IKWETA) ndio chimbuko la jina Cuinea ya Ikweta
.....
Acha masihara aiseeUkiwa daktari wake na wewe ni Me unateguliwa muhogo!!![emoji134]