Makapuku Forum

1970 - Rais wa Marekani wa kipindi hiko, Richard Nixon anatoa kauli ya kupunguza wanajeshi 40,000 kutoka katika Vita ya Vietnam kabla ya Sikukuu ya Krisimasi.

Vita hiyo maarufu ya Miaka ya 1960 - 1970 ilipigwa katika misitu minene hali iliyopelekea Wamarekani kushindwa vibaya vita hiyo ya mSituni.
 
WaVietnam waliwachapa shaba wamarekani mpaka wakasema pooh[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…