Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,322
- 68,399
Weka pichaHivi umeona goal alilofunga jana?
Amefungia mbali sanaaa
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
1884 - Eleanor Roosevelt anazaliwa.
Alikuwa ni Mke wa Rais Roosevelt ambaye alikuwa ni Rais wa 39 wa Marekani.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] scorpion huyuKwani Mimi ndo nimetobolewa macho na Scorpion hadi nisione
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
Nachukia muvi za kihindi[emoji16]1942 - Amitabh Bachchan anazaliwa.
Ni mkali wa filamu za Action toka nchini India.
Kwangu mimi ndio msanii mkali toka Bollywood.
Namkubali sana katika movie ya Andhaa Kanoon.
Aise, yeye alikuwa Rais wa ngapi?1910 - Rais wa zamani wa Marekani, Theodore Roosevelt anakuwa Rais wa kwanza w Marekani kupanda ndege ( Kusafiri kwa ndege ).
Ahsante Musso, kwenye hao vichaa exclude mimi[emoji23]Leo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Vichaa, tukutane tena kesho.
Jumanne njema.
Amitabh Bachchan bila kuona movie yake siku haijaisha1942 - Amitabh Bachchan anazaliwa.
Ni mkali wa filamu za Action toka nchini India.
Kwangu mimi ndio msanii mkali toka Bollywood.
Namkubali sana katika movie ya Andhaa Kanoon.
Baada ya tukio hili, Mfumo wa ulinzi wa Rais wa Marekani ukabidilishwa na ikiwemo kuweka damu ya dharura ( akiba ) ndani ya gari analopanda Rais ili ikitokea dharura kama hiyo Rais apatiwe huduma ya kwanza.View attachment 416081View attachment 416082
With GorbachevView attachment 416083Murder attempt
......
Miss chaga kaonaLeo ni siku ya mtoto wa kike Duniani.
Asante dikteta kwa leo katika historiaLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Vichaa, tukutane tena kesho.
Jumanne njema.
1905 - Fred Trump anazaliwa.
Alikuwa ni Mfanyabiashara mashuhuri nchini Marekani.
Ni baba mzazi wa Mgombea Urais wa Marekani kwa tiketi ya Republican, Donald Trump.
Alifariki mwaka 1999.
hata kwangu1942 - Amitabh Bachchan anazaliwa.
Ni mkali wa filamu za Action toka nchini India.
Kwangu mimi ndio msanii mkali toka Bollywood.
Namkubali sana katika movie ya Andhaa Kanoon.
Hata Cristiano Ronaldo amepewa jina la Ronaldo kwa heshima ya Ronald Reagan.Rais halafu mcheza muvi! Nimeipenda hii.....Ila yule jamaa aliemdungua Kennedy alikuwa noma!
Nipe muvi yake nami nienjoiAmitabh Bachchan bila kuona movie yake siku haijaisha
The first family.
duh,umeangalia movie ngapi weyeeeeeeee??Amitabh Bachchan bila kuona movie yake siku haijaisha
Mimi mwenyewe sio mpenzi wa mMovie za Bollywood ila Andhaa Kanoon ni nzuri sana itafute na kamwe hutojuta.Nachukia muvi za kihindi[emoji16]
39Aise, yeye alikuwa Rais wa ngapi?
hahaha...kwanini?Ahsante Musso, kwenye hao vichaa exclude mimi[emoji23]