Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,330
- 68,400
Leo katika Historia:
1964 - Ufunguzi wa Michuano ya Olimpiki ya Majira ya kiangazi ya huko Tokyo nchini Japan yarushwa live kwa mara ya kwanza katika historia ya michuano hiyo.
Kumbe walichelewa1970 - Fiji yapata Uhuru wake.
1970 - Fiji yapata Uhuru wake.
1975 - Papua New Guinea yajiunga na Umoja wa Mataifa.
2009 - Nchi za Armenia na Uturuki zasaini mkataba wa kufunguliana mipaka ya Nchi zao.
1940 - Winston Churchill anazaliwa.
Alikuwa ni mwandishi wa habari na mwanasiasa kutoka Uingereza.
1942 - Radu Vasile anazaliwa.
Alikuwa ni Waziri Mkuu wa 57 wa Romania.
1945 - Christopher Hill anazaliwa.
Ni askofu kutoka Nchini Uingereza.